Majadiliano:Guyani ya Kifaransa

(Elekezwa kutoka Majadiliano:Giyani ya Kifaransa)
Latest comment: miaka 3 iliyopita by Kipala in topic Guyana - Gwiyan

Guyana - Gwiyan hariri

Mtumiaji KingoziTu alibadilisha jina la Guyana kuwa Gwiyan. Hakueleza mabadiliko. Nikiangalia ukurasa wa frwiki naona anatumia umbo linalofanana na jina la nchi (au jimbo) kwa kikrioli cha pale. Ila nikiangalia gcrwiki (wikipedia ya Krioli ya Guyana) jina la nchi katika Krioli si "Gwiyan" lakini "Lagwiyann" (taz. gcr:Lagwiyann). Gwiyan si jina rasmi kwa hiyo sioni sababu kubadilisha hata jina la Kiswahili. Narudisha mabadiliko nikoongeza jina la Kikrioli. Kipala (majadiliano) 20:47, 31 Agosti 2020 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Guyani ya Kifaransa ".