Majadiliano:Hakuna Starehe Tena

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Majina maalumu ni pamoja na riwaya, muziki, filamu, na kadhalika. Makala yanahitaji kutazamiwa upya. Tafadhali rejesha jina kamili la makala kama jinsi kitabu kinavyoitwa!--MwanaharakatiLonga 17:10, 25 Januari 2010 (UTC) Reply

Haya, nimejaribu kuperuzi kwenye makala ya Chinua Achebe nimeona wengine wametafsiri. Si kitu. Tumia jina hilili, lakini ondosha mabano ya Kiingereza. Kwa kufuata uandishi ule, basi maneno ya Kiingereza huwekwa kwenye mabano ndani ya makala na si katika jina moja kwa moja.--MwanaharakatiLonga 17:20, 25 Januari 2010 (UTC)Reply
Return to "Hakuna Starehe Tena" page.