Majadiliano:Heshima ya pekee kwa Bikira Maria
Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala
Lemma iongezwe kuwa na jina la Maria. Maana "heshima ya pekee" peke yake haieleweki, inapatikana kwa watu na vitu vingi duniani. Kipala (majadiliano) 11:03, 10 Mei 2022 (UTC)