Majadiliano:Historia ya awali

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Kipala

Jina la ukurasa ni tofauti kidogo na lilivyo mwanzoni mwa makala. Tufanye nini? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:38, 17 Juni 2015 (UTC)Reply

Ni kosa. Sina hakika kama ilikuwa wazo zuri kuanzisha makala hii. TUKI-ESD ina "kabla ya historia" kwa "prehistoric". Labda afadhali bila kistari ungio? Naomba sahihishe jinsi unavyoona vema Kipala (majadiliano) 16:04, 17 Juni 2015 (UTC)Reply
Hongera, uhamisho unafaa!Kipala (majadiliano) 16:12, 18 Juni 2015 (UTC)Reply
Return to "Historia ya awali" page.