Majadiliano:Jamhuri ya Dominika
Latest comment: miaka 10 iliyopita by Kipala
Jina linatafsiriwa Jamhuri wa Kidominiko, yaani ya Mt. Dominiko, au Dominikana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 14:05, 15 Oktoba 2014 (UTC)
- Kimsingi ni kweli. Jina ni dhambi la siku zangu za kale. Ningependelea Jamhuri ya Dominikana maana ni karibu zaidikwa jina la wenyewe. Unaonaje? Kipala (majadiliano) 17:15, 15 Oktoba 2014 (UTC)