Majadiliano:Jumuiya ya Nchi Huru

Latest comment: miaka 8 iliyopita by Kipala

Mtumiaji asiyejiandikisha kwa jina alifuta jina la kiingereza. Nimelirudisha na kukinga ukurasa maana wasomaji wengine wanajua majina kwa lugha ya Kiingereza tu kwa hiyo tunayaongeza mara kwa mara kwa kuwasaidia wasomaji hao. Kipala (majadiliano) 10:10, 2 Aprili 2016 (UTC)Reply

Return to "Jumuiya ya Nchi Huru" page.