Majadiliano:Kababu za samaki
Latest comment: miaka 2 iliyopita by ChriKo in topic Tafsiri isiyofaa
Tafsiri isiyofaa
haririMpira wa samaki ni tafsiri isiyofaa kwa "fish ball". Maana ya mpira kwanza ni "rubber", kwa hivyo ikiwa maana yake ni "ball" hiyo ball ni aina ya rubber au labda ya plastiki. Kwa ujumla, "food ball" ni tonge kwa Kiswahili, au kitonge ikiwa ni dogo. "Meat ball" ni kababu, kwa hivyo labda tutumie hii kwa "fish ball" pia. Mnapendelea neno gani? ChriKo (majadiliano) 08:13, 21 Juni 2022 (UTC)