Majadiliano:Kamusi za Kiswahili
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Kiitaliano - Kiitalia
Kiitaliano - Kiitalia
haririTazama makala Kiitalia - Lugha za Kirumi. Si lazima tukiweka viungo lakini heri tusiunde maumbo mengi mno. Nakubali ya kwamba "Kiitaliano" hutumiwa kati ya wasemaji wa Kiswahili - lakini ni kama "Kiinglish" inayosikika pia. --Kipala 00:56, 3 Desemba 2007 (UTC)