Majadiliano:Kanisa Kuu la Azania Front
Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala in topic Kuhamishwa kwa ukurasa
Kuhamishwa kwa ukurasa
haririJina la wenyewe ni "Azania Front Cathedral" linalotafsiriwa kuwa "Kanisa Kuu la Azania Front". Hakuna haja kuliita "Lutheran" maana hakuna kanisa lingine lenye jina la Azania Front. Ni uzoefu tu, heri tubaki na jina rasmi. Kipala (majadiliano) 11:48, 23 Januari 2017 (UTC)