Majadiliano:Karafuu

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Asili ya jina

Asili ya jina hariri

Clou de girofle ni tafsiri ya Kifaransa, si asili ya neno karafuu. Naona kwenye kamusi ya Sacleux ya kwamba asili ni neno la Kigiriki καρυὁφυλλον karyofilon lililoingia katika Kiarabu kuwa قَرَنْفُل qaranful, na hivyo kufikia Kiswahili. Kipala (majadiliano) 19:37, 16 Aprili 2018 (UTC)Reply

Return to "Karafuu" page.