Majadiliano:Karakana
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Maana ya lemma
Maana ya lemma
haririMwanzilishaji wa makala alichukua maana ya karakana kuwa "garage". Maana hii inawezekana lakini si maana yenyewe ambayo ni zaidi "workshop". Kimsingi ni mahali ambako fundi ana zana na ala na kutekeleza kazi yake ya kutengeneza au kukarabati bidhaa. Kipala (majadiliano) 18:55, 3 Aprili 2018 (UTC)