Majadiliano:Karne XXI
Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Kwa nini ukurasa huu umefutwa? Hauwezi kuanzishwa tena? --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:58, 24 Julai 2010 (UTC)
- Inawezekana Flowerparty kaona si lazima kuelekeza makala ya karne ya 21 kwa mtindo wa kirumi wakati hakuna uhakika au firikirio la msomaji atafute karne hiyo kwa namba za kirumi. Unaonaje?--MwanaharakatiLonga 11:54, 24 Julai 2010 (UTC)