Majadiliano:Kiduchu (hisabati)

Latest comment: siku 16 zilizopita by Muddyb Blast Producer in topic Fupi

Fupi

hariri

Makala ni fupi mno. Kama ikipanuliwa italeta maana zaidi. Ufupi wa sentensi unashindwa kuleta maana yenye kueleweka kirahisi. Ila inaweza kueleweka na yule mwenye maarifa na suala tajwa. Muddyb Mwanaharakati Longa 12:24, 12 Juni 2024 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kiduchu (hisabati) ".