Majadiliano:Kigogo (lugha)

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kigogo bado tunahitaji majina mengi au maana nyingi. Kwa mfano: hapa mjini Dar es Salaam tukisema kigogo basi ujue tumemaanisha mtu mkubwa sana mashuhuri. Hasa awe tajiri au mtu muhimu. Kwa Kiingereza humwita mogul. Pia kigogo ni kipande cha mti uliokatwa na kubakia umeukauka - aidha kiwe kigogo cha mnazi, muembe, mbuyu, mkoroshi, na kadhalika. Pia, kigogo lugha. Kigogo kata na kadhalika! Je, tuazishe ukurasa wa maana hizi zote?--MwanaharakatiLonga 14:59, 24 Juni 2010 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kigogo (lugha) ".