Majadiliano:Kisangu (lugha ya Tanzania)

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Baba Tabita

Sehemu nyingi za makala hiyo zinaonekana kama zimenakilishwa kutoka kitabu bila kuweka nukuu vizuri. Tena, sehemu nyingi zinahusu jamii ya Wasangu (na hata makabila mengine) lakini hazifai kwa makala kuhusu lugha. Kwa hiyo makala isafishwe na sehemu zi wekwe katika makala nyingine ifaavyo. --Baba Tabita (majadiliano) 17:19, 18 Mei 2014 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kisangu (lugha ya Tanzania) ".