Majadiliano:Kisimbiti

Latest comment: miaka 10 iliyopita by Baba Tabita

Ups - nimesahihisha sasa hivi makala ya Wasimbiti (maana kama wewe umeiandika ilikuwa kabla za kujiandikisha).. ... Nimerejea chanzo cha www.thetask.net wanaposema eti Wasimbiti ni kama aina za Kisuba. Sasa naona unachosema hapa. Si kweli? Basi utasahhisha wewe? Kipala (majadiliano) 08:22, 10 Septemba 2014 (UTC)Reply

Hakuna mabaya, mzee wangu. Umefanya vizuri. Tovuti la Kisuba-Simbiti kwenye Ethnologue linaonyesha habari rasmi. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 11:03, 10 Septemba 2014 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kisimbiti ".