Majadiliano:Kiswahili
Idadi za Wasemaji wa Kiswahili
haririUkurasa huu unasema eti kuna wasemaji wa lugha ya kwanza zaidi ya milioni ishirini na wasemaji wa lugha ya pili zaidi ya milioni sabini! Idadi hizi zinapatikana kweli? Sidhani. Ukiangalia makala haya kwa Kiingereza unapata milioni tano kwa wasemaji wa lugha ya kwanza na baina ya milioni thelathini na milioni hamsini kwa wasemaji wa lugha ya pili. Ukiwa na habari yo yote inayothibitisha hizi idadi, tafadhali tuambie! - 65.30.186.123 20:46, 16 Juni 2006 (UTC)
- Swali ni nzuri; wakati wa kutunga nilifuata ukurasa sujui upi. Nimejaribu kufuatilia swali lako na ugumu jinsi ilivyo mara nyingi ni ya kwamba makala kwenye mtandao ama hayataji marejeo au marejeo haya ni vitabu ambavyo haviwezi kusomwa kwa mtandao. Ninapenda kuonyesha ninachoona nipijaribu makadirio yangu hata kama mimi si mtaalamu.
- Kwenye kurasa ya majidiliano ya wikipedia ya Kiingereza swali linaulizwa pia na watungaji wanajibu: sina uhakika.
- Lugha ya kwanza: Nikijaribu kulinganisha yale yanayopatikana mtandaoni naona yafuatayo:
- Ukurasa wa wataalamu wa lugha wa ethnologue [[1]] wanataja idadi ndogo sana ya watu 772,642 wanaotumia Kiswahili kama lugha ya kwanza - ambayo mimi naona haifai kabisa.
- Hata kadirio ya milioni tano nahisi ni chini mno.
- Napiga kadirio langu: Tanzania wakazi milioni 38; nusu yao takriban chini ya miaka 18 yaani vijana milioni 19. Takriban 20% wakazi wa miji > watoto na vijana milioni 3,8. Ninahisi ya kwamba wengi sana kati yao watamjibu Mama kwa Kiswahili hata kama Mama anawaambia kitu kwa Kichagga, Kisukuma n.k. Asilimia ngapi? Sidhani ya kwamba mtu anajua kweli. 80-90%? Lakini mjini si vijana chini ya miaka 18 tu. Ningehisi hata idadi kubwa ya kikundi cha Watanzania mjini hadi umri wa miaka 30 hivi watafanya vilevile. Jumla yake hadi hapa 4-5 milioni? Hii ni bila watu wenye umri wa wastani mjini walioacha lugha za nyumbani na kuhamia Kiswahili. Tena wangapi?
- Nje ya mjini sina uhakika. Vijijini kabisa kuna maeneo ambako watu husema kilugha tu, sivyo? Lakini kuna pia vijiji hivi ambako makabila yamechanganya sana; hapo wageni wameanza kutumia lugha ya wenyeji; huko wenyeji wameanza kutumia lugha ya wageni, lakini kuna pia sehemu ambako wote wameshaanza kitambo kuwasiliana kwa Kiswahili hivyo sehemu ya watoto na vijana wamekua wakitumia Kiswahili hasa. Tukumbuke hata vijijini nusu ya wote ni chini ya miaka 18. Sasa wangapi wamehamia Kiswahili?? 10% au zaidi ya watu mashambani? Pale nilikoishi ningeona hata zaidi lakini siwezi kusema kitaifa. Basi niseme 10% - tena 3,8 milioni. Labda si wengi hivi.
- Kenya vipi? Asilimia ni ndogo kuliko Tanzania lakini mjini kote niliwasikia watoto wakisema zaidi Kiswahili kuliko lugha ambayo sielewi. Tuseme watoto na vijana milioni 3 walioko mjini - wangapi wanasema Kiswahili hasa? Labda robo? Pamoja na watu pwani nakadiria milioni 1 wasemaji wa Kiswahili ligha ya kwanza Kenya.
- Kongo ya mashariki na Uganda wa Kaskazini sijafika siwezi kusema.
- Kwa jumla: Hizi milioni 20 ni juu lazima tusahihishe. Milioni 5 za wiki ya Kiingerezea ni duni. Lazima tuseme "hakuna uhakika" - na nitaongeza: labda 8-10 Mil.
- Lugha ya pili:: yafuatayo ni kadirio langu. Kama mtu ana sababu ya kutaja asilimia tofauti ya wasemaji aseme tu!
- Swali ni nzuri; wakati wa kutunga nilifuata ukurasa sujui upi. Nimejaribu kufuatilia swali lako na ugumu jinsi ilivyo mara nyingi ni ya kwamba makala kwenye mtandao ama hayataji marejeo au marejeo haya ni vitabu ambavyo haviwezi kusomwa kwa mtandao. Ninapenda kuonyesha ninachoona nipijaribu makadirio yangu hata kama mimi si mtaalamu.
Nchi Wakazi wote milioni % wasemaji wa Kiswahili kama lugha ya pili milioni Tanzania 38 95 36.1 Kenya 34 70 23.8 Uganda 28 30 8.4 Kongo 60 20 12 NCHI NNE -- -- 80,3
- Naona tutumia haya hadi mtaalamu wa kweli amepatikana. --Kipala 09:34, 17 Juni 2006 (UTC)
Swahili au Kiswahili? Na Ngozi je?
haririBonjour à tous et à chacun,
Désolé de m'adresser à vous dans une autre langue que la vôtre, mais je n'en connais pas un traître mot.
J'ai plusieurs questions à vous soumettre qui peuvent vous paraître de second ordre.
Tout d'abord, sur la Wikipedia francophone, il y a eu, en 2006, une discussion dont les conclusions n'ont pas fait l'objet d'un consensus très net. Il s'agissait de déterminer si, pour évoquer votre langue, il faut employer le terme swahili ou plutôt kiswahili. Notamment, un article figure bien à l'entrée Swahili, mais la page de discussion renvoie à celle de l'article Kiswahili. ce qui paraît à l'évidence un rien scabreux. Qu'en pensent les linguistes swahiliphones (ou kiswahiliphones, si c'est comme ça que ça doit finalement se dire;-)) ) ?
Ensuite, toujours sur la WP:FR, on évoque une ville de Ngozi sur la côte de l'Océan Indien, quelque part entre le Nord du Kenya et le Sud de la Somalie, comme lieu d'origine possible de la langue, ou même avant, du proto-swahili dont votre langue tirerait son origine. Il s'agirait de la probable capitale de l'ancien Empire Ozi. Je n'en avais personnellement jamais entendu parler. Je ne trouve rien de probant sur WP:EN ni avec Google.
Quelqu'un connaît-il une source d'information assez sérieuse et documentée (en français ou en anglais, SVP) sur ce sujet pour me l'indiquer, que ce soit sur la ville, sur l'ancien empire ou sur la source de la langue ? (Et si c'est sur les trois ensemble, c'est encore mieux ;-)))
Remerciements chaleureux et anticipés. Le bonjour à tous vos anciens. Hop ! Kikuyu3 (majadiliano) 12:56, 12 Julai 2009 (UTC)
(Vous pouvez me répondre ici, ou de préférence sur ma page perso (http://fr.wikipedia.org/wiki/Discussion_utilisateur:Kikuyu3), de préférence en français ou à défaut en anglais, que je comprends un peu aussi. Asanate sana.)
- Tafsiri
Watu wote na kila mtu, salaam!
Pole kwa kuwaandikia kwa lugha tofauti ya ile yenu, lakini sijui neno hata moja ya Kiswahili.
Nina maswali kadhaa kuwauliza ambayo yanaweza kuonekana kama bila uzito. Kwanza, mwaka 2006, ilikuwa majadiliano kwa Wikipedia ya Kifaransa ambayo hayajafika mwafaka mzuri. Hoja ilikuwa kuhakiki kwamba Swahili ni jina bora la lugha yenu au afadhali Kiswahili. Zingatia kama Swahili ni kichwa cha makala ya Wikipedia lakini ukarasa wake wa majadiliano unaitwa Kiswahili, ambayo haifai kwa hakika. Wanaisimu wanaosema Kiswahili, mnafikiria nini?
Halafu, bado kwa WP:FR, mji wa Ngozi unatolewa, ambao ulikuwako pwani ya Bahari ya Hindi, mahali fulani kati ya Kenya ya Kaskazi na Somalia ya Kusi. Mji huu ungekuwa mahali pa asili ya Kiswahili au hata zamani zaidi mahali pa asili ya lugha ya kiasili ya lugha yenu. Yamkini ungekuwa mji mkuu wa Dola ya Ozi. Mimi mwenyewe sijasikia kuhusu mji huu. Sipati kitu nikitafuta kwa WP:EN wala kwa Google. Kuna mtu anaojua chanzo nyofu cha maarifa chenye marejeo (kwa Kifaransa au Kiingereza, tafadhali) kuhusu mji huu, dola hii au asili ya lugha? Na kama ni kuhusu tatu zote, ni bora kabisa ;-)) Asante sana kwa matazamio. Kwa heri, ninyi nyote wakale. Endelea! (Mnaweza kunijibu hapa au kwa upendeleo kwa ukurasa wangu mwenyewe (http://fr.wikipedia.org/wiki/Discussion_utilisateur:Kikuyu3), afadhali kwa Kifaransa ila kwa Kiingereza, ambacho ninakifahamu kidogo pia. Asante sana.) ChriKo (majadiliano) 23:53, 4 Desemba 2011 (UTC)
Old Swahili dictionaries, grammars and stories
haririDictionaries and vocabularies
http://books.google.com/books?id=sbMtAAAAYAAJ&pg=PA307#v=onepage&q&f=false
French english swahili
German swahili
Grammars
Exercises, introductions, handbooks, readers
Stories and aphorisms
Readings, readers and stories
Bible related materials
http://books.google.com/books?id=TdYWAQAAIAAJ&pg=PA339#v=onepage&q&f=false
Swahili hymn book in arabick magick letters
Dialects
Congo languages
Bantu languages
Script
haririhttp://books.google.com/books?id=CosOAAAAYAAJ&pg=PA6#v=onepage&q&f=false
http://books.google.com/books?id=oYhrCkGaxyUC&pg=PA343#v=onepage&q&f=false
http://books.google.com/books?id=6lQTPxdYx8kC&pg=PA73#v=onepage&q&f=false
03:09, 19 Machi 2013 (UTC)
Pronounciation
haririCould someone please make a comment at the page about Eliud Kipchoge, how to pronounce his name.
Matamshi na lafudhi ya kiswahili
haririMatamshi sahihi ni namna ya kutamka maneno katika hali ya kuzingatia kanuni zote za kisarufi za utamkaji wa maneno hayo. Neno linapotamkwa katika hali isiyokuwasahihi husababisha moja kati ya mambo mawili yafuatayo;
- Kutokea kwa maana tofauti na ile uliyokusudia
- Kutokea kwa mambo ambayo hayaeleweki.
-Ili kutoa maana inayoeleweka kuna mambo ya kuzingatia wakati wa utoaji wa sauti.mambo hayo ni;
Kiimbo
haririNi utaratibu maalumu wa kupanda na kushuka kwa maumbo ya sauti wakati wa utamkaji.Lugha ya kiswahili ina viimbo ambapo sauti huwa juu na chini.
Mkazo
haririNi nguvu ya ziada inayotumika kutamka silabi moja ya neno kuliko nyingine.Silabi yenye mkazo hutamkwa kwa nguvu nyingi kuliko ile isiyokuwa na mkazo.
Lafudhi
haririNi namna ya kutamka maneno ambayo hutambulisha mtu mahali alipotokea.Lafudhi hutokana na athali za lugha mama. -Kupitia lafudhi tunaweza kutambua kama mtu huyo ametokea jamii fulani.Mfano;kihindi,kizungu n.k.
Ali Shariff Athman
haririAli Shariff AThman ni mwanasiasa nchini(Kenya) na mwanachama wa (chama cha Jubilee)(JP).Aliteuliwa mwaka wa (2017) (alichaguliwa kama mbuge wa taifa la Kenya, katika eneo mbunge la Lamu )(kaunti ya Lamu).
<ref> "Hon. Ali, Sharif Athman The Kenyan Parliament Website". www.parliament.go.ke. Retrieved 30 May 202 "Shariff Athman Ali". Mzalendo. Retrieved 30 May 2020 Lamu County Integrated Development Plan CIDP 2018-2022. Lamu County Government. 2018. pp. 37–42.