Majadiliano:Kolesteroli
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Kipala in topic Jina
Jina
haririKamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia inatumia "kolesteroli". Ilhali makala yenyewe inacheza kati ya maumbo ya "Kolestro" na "Kolestero" nahamisha sasa kwa kolesteroli. Kipala (majadiliano) 11:12, 20 Aprili 2018 (UTC)