Majadiliano:Kompyuta ya wingu

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Futa

Futa hariri

Mtungaji wa makala ametumia google-translate neno kwa neno akifanya masahihisho machache sana. Alichagua matini gumu ya Kiingereza ambayo haielezi mada yake kwa njia inayoeleweka vizuri. Kutumia google translate badala ya kutafakari haisaidii. Kiswahili ni kibaya. Pamoja na yote tunayo tayari makala mfupi sana Wingu (mtandao) inayohitaji kupanushwa. Kwa kawaida tungesema "unganisha" lakin i sioni faida kunganisha mbegu na matini hiyo. Kipala (majadiliano) 19:14, 2 Julai 2021 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kompyuta ya wingu ".