Majadiliano:Krioli ya Guyani ya Kifaransa
Latest comment: miaka 4 iliyopita by Riccardo Riccioni
Jina la ukurasa lina matatizo mawili:
- Kikrioli si sahihi: ni Krioli tu.
- Guyana ni hasa nchi huru yenye Krioli walau moja ya kwake.
Napendekeza: Krioli ya Guyana ya Kifaransa. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:10, 1 Septemba 2020 (UTC)