Majadiliano:Kurani
Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Nimebadilisha makala yote kwa ujumla. Yaani, ni maelezo mapya na si yale ya zamani. Ikiwa inaonekana kama kuna sehemu ina makosa, basi iwe huru kubadilisha.-- MwanaharakatiLonga 09:26, 16 Septemba 2009 (UTC)