Majadiliano:Kusini

Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala in topic Kusi - Kushi???=

Kusi - Kushi???=

hariri

Nina wasiwasi sana kuhusu maelezo kuwa asili ya neno "kusi / kusini" ina uhusiano na jina la "Kushi" jinsi ilivyo katika Biblia na katika historia ya Ufalme wa Kushi. Maelezo katika makala hayaonyeshi chanzo wala uthibitisho. Sijakuta neno "kusi" katika kamusi zangu za Kiarabu; kusini kwa Kiarabu kwa kawaida ni "junub" (جنوب). Kipala (majadiliano) 12:47, 5 Julai 2019 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Kusini ".