Majadiliano:Kwame Nkrumah

Latest comment: miaka 9 iliyopita by Kipala in topic Kwame au Kwameh?

Kwame au Kwameh?

hariri

Ghana wakati ikiitwa Gold Cost ilikuwa chini ya utawala wa Waingereza kati ya mwaka 1885 hadi 1957.Vyama vya siasa vilivyoundwa nchini Ghana ni pamoja na:-

(1)Convetion Peoples Party (CPP)kilichoundwa 1947 na KWAME NKRUMAH na wafuasi wake ni wale waliojitenga na (UGCC)kupigania uhuru kamili. (2)United Gold Coast Convetion(UGCC)ambacho pia kilianzishwa 1947 na mwenyekiti wake aliitwa T.B Daquar na katibu aliitwa KWAMEH NKRUMAH.

Harakati za CPP kutaka Ghana ijitawale ilipelekea Kwame Nkrumah kufungwa,lakini haikusaidia.Harakati zao zilipozidi zilipelekea waingereza kuitisha uchaguzi ufuatao:-

(1)Uchaguzi uchaguzi wa kwanza ulifanyika 1957 ambapo CPP ilipata viti 33 na UGCC viti 3 (2)Uchaguzi wa pili ulikuwa wa kukabidhi Ghana uhuru wake ambao ulifanyika 1956 ambapo CPP ilipata viti 72 na vyama vingine vilipata viti 33

Mwaka 1957 mwezi March Ghana ilipata uhuru kupitia CPP na KWAME NKRUMAH kuwa Waziri Mkuu na baadae kuwa rais wa kwanza wa Ghana.

GHANA ilipata uhuru MARCH 1957,na Rais wakke wa kwanza aliitwa KWAMEH NKRUMAH

ilipelekwa na mtumiaji:197.250.50.28 tar. 22 Februari 2015 08:09 kama makala mpya lakini bila vyanzo vyovyote.

Faili:Vitabu vya Kwame Nkrumah.jpg
Vitabu vya Kwame Nkrumah vinaonyesha jina la mwandishi
Inaonekana mtumiaji asiyejiandikisha ‎197.250.50.28 alisisitiza ya kwamba jina sahihi la Nkrumah ‎lilikuwa KWAMEH NKRUMAH. Lakini hajaleta chanzo chochote.Kinyume kuna vyanzo tele ya kwamba alijiita mwenyewe "Kwame" bila "h" mwishoni.
Hata hivyo ni labda tu swali la tahajia au kosa la tahajia. Nitaondoa yaliyomo ya "Kwameh nkrumah" na kuweka kiungo kwenye makala yenyewe Kwame Nkrumah kama mtu mwingine anatafuta umbo hili. Kipala (majadiliano) 11:25, 22 Februari 2015 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Kwame Nkrumah ".