Majadiliano:Larry Abramson
Latest comment: miaka 13 iliyopita by Kipala
Karibu Kwnya mjadala ya Larry Abrahamsom. Naomba usaidizi wenu kuili kuimarisha nakala hili na kuifanya iwe kama ya kiingereza
- Heri isiwe kama Kiingereza bali kama Kiswahili! Unaweza kutafakari mpangilio na kutumia mbinu zinazoelezwa hapa kifupi na na hapa kirefu zaidi.
- Unayo tayari "Wasifu", "Tiniwayo" (kwa kawaida tunaziita "Viungo vya Nje") na "Gallery" (afadhali kuswahilisha - piacha zake / kazi zake / mifano ya kazi)
- Kwa mfano unaweza kupanga sehemu ndefu inayoitwa sasa "wasifu" habari kufuatana a) maisha binafsi pamoja na ankotoka, elimu na familia b) kazi na maendeleo yake.
- HAlafu hapa kwenye majadiliano usisahau kutia sahihi kufuatana na maelezo hapa Wasalaam Kipala (majadiliano) 19:45, 2 Novemba 2011 (UTC)