Majadiliano:Ludwig Erhard

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Waungwana, nimeshindwa kutafsiri neno Great Depression. Kule nimeona wakisema eti kulikuwa na tatizo la uchumi katika nchi ya Marekani na pande nyingine za dunia! Lakini bado sipati picha kamili yenye kunipa mwangaza mwema wenye kutaja vyema Great Depression. Naomba nipeni mwanga juu ya hili!--Mwanaharakati (majadiliano) 07:57, 17 Septemba 2008 (UTC)Reply[jibu]

Jaribu Mdororo Mkuu. Maoni mwangu ni tafsiri nzuri ya "Great Depression" (pia imetumiwa na "Deutsche Welle" na kamusi ya TUKI). Kazi njema! --Baba Tabita (majadiliano) 14:43, 17 Septemba 2008 (UTC)Reply[jibu]
Ahksante kwa mchango wako!!--Mwanaharakati (majadiliano) 07:23, 18 Septemba 2008 (UTC)Reply[jibu]
Return to "Ludwig Erhard" page.