Majadiliano:Lugha ya kwanza
Latest comment: miaka 12 iliyopita by 91.98.113.164 in topic Makosa katika kujifunza lugha ya pili
Makosa katika kujifunza lugha ya pili
haririhivi ni makosa gani wanayoyapata watu pale wanapojifunza lugha ya pili mfano kiingereza, kifaransa na hata lugha nyingine za kigeni. swala hili limekuwa likinitataza sana je, makosa au matatizo wanayoyapata ni ya kimsamiati, kimuundo, kisemantiki au kimatamshi? (mchango wa mtumiaji:Josephangetile kwenye ukurasa unaofutwa Makosa katika kujifunza lugha ya pili, tar. 27 Machi 2012 )
- Naona umeshataja makosa yanayoweza kutokea ni yote. Inategemea na mtu na uhusiano kati ya lugha zake mbili. 91.98.113.164 11:54, 27 Machi 2012 (UTC)