Majadiliano:Madeleine Albright

Latest comment: miaka 2 iliyopita by Kipala in topic Ukosoaji

Ukosoaji hariri

Nimesahihisha sehemu mwantzoni iliyosema alikosolewa kutokana na vifo vya watoto maelfu kutokana na mabomu dhidi ya Yugoslavia na Iraki. Swali la vifo vya watoto wengi lilitokea si kutokana na vita bali vikwazo vya kiuchumi dhidi Iraki. Kipala (majadiliano) 07:20, 25 Machi 2022 (UTC)Reply

Return to "Madeleine Albright" page.