Majadiliano:Madhehebu
Latest comment: miaka 8 iliyopita by Riccardo Riccioni
Hii makala kuna kosa katika kuunganisha kule Wikipedia ya Kiingereza. Makala ya Wikipedia ya Kiingereza inataja Ukristo tu, wakati hapa wamejumlisha yote. Kheri ingepelekwa hapa: https://en.wikipedia.org/wiki/Denomination ambapo wametaja madhehebu yote kwa pamoja.--154.73.170.162 13:27, 20 Januari 2016 (UTC)
- Angalia vizuri, kiungo cha Kiingereza ni Religious denomination na kinataja dini nyingine, hasa Uislamu. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:46, 20 Januari 2016 (UTC)
- Tazama hapa: https://en.wikipedia.org/wiki/Christian_denomination - makala moja ina viungo viwili.. Duh!!!--MwanaharakatiLonga 09:57, 23 Januari 2016 (UTC)
- Ndugu, nashangaa, ila ni kweli hata katika Wikidata mara nyingine unakuta viungo viwili vya lugha moja kwa neno lilelile. Sielewi imekuwaje. Kama una maelezo, nipe. Kwa vyovyote turekebishe. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:43, 23 Januari 2016 (UTC)