Majadiliano:Magimbi

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Kipala in topic Kasoro

Kasoro

hariri

jinsi ilivyo makala haielezi magimbi ni chakula kutokana na mmea gani, au kama ni jina la kutaja vyakula vyenye asili mbalimbali. Nimekuta "en:yam" au "en:taro" (sw jimbi) kama maelezo kwa magimbi.

Kimsingi mada ya kufaa lakini heri iende kuliko kutoeleweka Kipala (majadiliano) 18:53, 24 Februari 2017 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Magimbi ".