Majadiliano:Makanisa ya Kikelti

Latest comment: miaka 6 iliyopita by Riccardo Riccioni in topic Selti au Kelti?

Selti au Kelti? hariri

Tuna makala ya Wakelti na umbo hili la jina limeshatumiwa mara kadhaa linganisha hapa: Maalum:VingoViungavyoUkurasahuu/Wakelti.

Je ingekuwa vigumu kuhamisha hata makala hii kuwa "Makanisa ya Kikelti"?? Kipala (majadiliano) 10:03, 27 Januari 2018 (UTC)Reply

Hakuna shida. Shalom. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:21, 27 Januari 2018 (UTC)Reply
Return to "Makanisa ya Kikelti" page.