Majadiliano:Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania

Unahisi ni sahihi kuisema vibaya Nchi yako kwenye mitandao ya kijamii ?

hariri

Hususani kwa Nchi za Africa ikiwemo Tanzania,baadhi ya watu wanahisi kuisema vibaya Nchi kwenye mitandao ya kijamii ni jambo sahihi kidemokrasia,wakiulizwa kuhusu jambo hilo hujitetea kwa kusema ni sahihi hata Marekani imeruhusiwa.

Material16 (majadiliano) 17:53, 31 Januari 2024 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ".