Majadiliano:Mangwair

Latest comment: miaka 17 iliyopita by Kipala in topic Habari za kimsingi zakosekana

Habari za kimsingi zakosekana

hariri

Makala bado yakosa habari za kimsingi kama umri / tarehe au angalau mwaka wa kuzaliwa, alikosoma n.k.. Kwa jumla nafurahia michango ya wanamuziki na upanuzi wa idara hiyo katika wikipedia yetu ila tu ningefurahia zaidi kama makala yaboreshwa kulingana na kawaida ya kamusi elezo. Inaonekana makala hii ni bora tayari kuliko michango ya awali ya wanamuziki mbalimbali. Naomba tuendelee kuboreka! --Kipala 16:39, 25 Agosti 2007 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mangwair ".