Majadiliano:Manispaa
Latest comment: miaka 8 iliyopita by Almasimagorwa in topic Kubadili kichwa kuwa manispaa na sio manisipaa
naona bora kichwa ccha habari kingekua manispaa badala ya manisipaa, kwani manisipaa siyo kiswahili sanifu
Kubadili kichwa kuwa manispaa na sio manisipaa
haririIkiwezekana bora jina la ukurasa liwe manispaa sababu kiswahili tunasema manispaa na sio manisipaa Almasimagorwa (majadiliano) 08:37, 14 Agosti 2016 (UTC)