Majadiliano:Marco Masano
Latest comment: miaka 9 iliyopita by ChriKo in topic Hakuna ruhusa kuandika kuhusu mwenyewe
Hakuna ruhusa kuandika kuhusu mwenyewe
haririMarco salaam. Sera ya Wikipedia ni kwamba watu hawaandiki kuhusu wao wenyewe. Nafikiri umefanya makosa bila makusudi, kwa sababu matini haya yamo katika ukurasa wako wa mtumiaji (Mtumiaji:Marco Masano). Makala hii itafutwa. ChriKo (majadiliano) 17:14, 1 Januari 2016 (UTC)