Majadiliano:Maumivu

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Je, si afadhali jina liwe "Maumivu (wimbo)"? Awali nilifikiri ni suala la kitabibu... --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:45, 15 Agosti 2014 (UTC)Reply

Unaweza kuweka maana kama kuna makala nyingine inayotaja maumivu kama "maumivu". Pole sijaona maoni yako mapema kwa takribani miaka mi3 sasa. Dooh!--MwanaharakatiLonga 10:05, 29 Agosti 2017 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Maumivu ".