Majadiliano:Mboga
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Baba Tabita in topic ufutaji wa yaliyomo?
Mboga ni mboga, haingalii kama ya majani ama nyama. Mboga waweza kuitaja kwa namna mbili tofauti au zaidi. Zipo mboga za majani na mboga zisizo za majani. Labda nijaribu kuorodhesha baadhi ya mboga za majani:
- Majani ya maboga
- Matembele
- Majani ya kunde
- Kisamvu
- Kabichi
- Spinachi
- Sukumawiki
Na nyingine nyingi.
Haya, labda ungetoa tena mifano ili mambo yaende sawa!--Mwanaharakati (majadiliano) 12:12, 5 Aprili 2008 (UTC)
ufutaji wa yaliyomo?
haririSikuelewa mbona Kipala, umefuta yote uliyoandika. Ndiyo sababu nimeyarudisha. Kazi njema! --Baba Tabita (majadiliano) 11:03, 11 Aprili 2008 (UTC)
- Makala ziko mbili zenye-maelezo sawa! Kuna Mboga na Mboga za majani. Labda tu hakuifuta makala hii baada ya ya kuumba mpya.
- Sasa nimeelewa. Na kuweka elekezo. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 18:17, 11 Aprili 2008 (UTC)