Majadiliano:Mein Kampf
Latest comment: miaka 9 iliyopita by Hellsepp in topic "Harakatangu"?
Sikuona cha maana kilichoandikwa kwani hata maelezo au masahihisho ya lugha ipo sehemu ya kuilezea na sio kufungua makala. Kwa upande wangu sijaunga mkono swala la mtu kuandika fikra zake katika sehemu ya makala, ilhali ipo sehemu ya kuelezea habari husika (ukurasa wa majadiliano). Nimefuta maelezo na pia napendekeza hii makala iondoshwe ama kama kuna mtu anaweza kuhariri habari za kitabu hiki cha Hitler au namnna gani? Basi hatua ichukuliwe. Endapo kama itatokea uwezekano hamna basi ifutwe.--Mwanaharakati 16:32, 11 Desemba 2007 (UTC)