Majadiliano:Meli za abiria Marekani
Latest comment: miaka 5 iliyopita by Kipala
Sielewi kusudi la makala hii. Tuna makala kuhusu meli ya abiria na pale kuna habari zaidi juu ya aina hii ya meli kuliko hapa. Sioni humo habari zozote kuhusu meli za Marekani au hasa meli za abiria za MArekani. Nitaweka alama ya "kuunganisha". Kipala (majadiliano) 21:51, 19 Julai 2019 (UTC)