Majadiliano:Mfuko wa backpack

Latest comment: miaka 7 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kuna lugha nyingi za kutumia hapa. Aidha kwa kukopa: "begi la mgongoni" au "mfuko wa mgongoni" lakini mfuko wa backpack, labda tuweke mabano (kutoka Kiing. "backpack bag"). Au namna gani?--MwanaharakatiLonga 06:35, 4 Desemba 2017 (UTC) Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mfuko wa backpack ".