Majadiliano:Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Ni yale yale ni semayo kuhusu utata wa lugha. Ni vyema kurahisisha ili kila mtu apate kuelewa. Si wengi tunayo fahamu Safu kama Chemical. Waswahili wengi tunatumia Chemical kwa kuiita Kemikali na sio Safu (ila mie sijui sana ila natoa kama ushauri tu) lengo kuu ujumbe ufike kwa walengwa. Ahsanteni.--Mwanaharakati 05:43, 3 Desemba 2007 (UTC)