Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia
Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia (en:chemical series) humjumlisha kundi la elementi za kikemia zenye tabia za pamoja. Tabia hizo huendelea kubadilika ndani ya mfululizo huo hatua kwa hatua.
Kwa mfano: Kiwango cha kuyeyuka kinapungua na ukali wa mmenyuko unaongezeka katika mfululizo wa metali alkali.
Mifululizo kadhaa ni sawa na makundi ya mfumo radidia kwa mfano metali alkali ni sawa na kundi 1.
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfululizo safu wa kikemia katika mfumo radidia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |