Majadiliano:Mfumo katika soka
Makala haifai. Kwanza haielezi kitu kuhusu mifumo ya kupanga wachezaji, ila inaongea kiefu kiasi kuhusu umuhimu kuwa na mfumo fulani. Pili lugha si nzuri ("sika" kwenye sentensi ya kwanza), tatu hakuna chanzo chochote. Kama ingekuwa na habari ya maana ningesaidia, hivyo ifutwe tu. 10:15, 18 Oktoba 2019 (UTC)
Kabla ya kuleta masahihisho tuangalie kwanza yale yaliyo tayari!
haririWapendwa nilipoanza kuweka masahihisho kadhaa katika makala hii nilichungulia kwanza hadi sasa tumetumia lugha gani, hasa katika makala mama "mpira wa miguu". Nilifuata yale niliyokuta pale naona imeondolewa tena bila kujali lugha za makala mengine ya awali (ambazo si zangu). Sasa haisaidii sana tukiendeleza kuingiza lugha tofautitofauti katika makala mbalimbali bila kujali tutumie msa iati gani kwa jumla. Naona sasa kuna makala mabazo hazikuungaishwa na mengine. Mimi si shabiki wa michezo kwa hiyo tafadhali mpitie angalau makala za soka na mhakikishe msamiati wa pamoja. Kipala (majadiliano) 21:55, 21 Oktoba 2019 (UTC)
- Sijaelewa unamzungumzia nani. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:08, 22 Oktoba 2019 (UTC)