Majadiliano:Mitaguso ya kiekumene

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Kipala in topic Iangaliwe!

Iangaliwe! hariri

Makala hii ni pendekezo la kuchukua nafasi ya "Mtaguso Mkuu". Makala ile inasimama upande wa mafundisho ya kikatoliki mno. Kwa hiyo nimetumia sehemu zake (orodha) nikajaribu kuiweka kwa namna inayolingana zaidi na mtindo wetu. Naomba wenzangu waiangalie! --Kipala (majadiliano) 21:08, 16 Novemba 2008 (UTC)Reply

Return to "Mitaguso ya kiekumene" page.