Majadiliano:Mkusanyo wa Sheria za Kanisa
Latest comment: miaka 6 iliyopita by Riccardo Riccioni
Jina halieleweki vema; naona heri kuhamisha makala hii kwenda Codex Iuris Canonici; maana kuna makanisa mbalimbali yenye mkusanyo wa sheria za kanisa. Kipala (majadiliano) 07:22, 20 Novemba 2011 (UTC)
- Bado naona heri tuhamishe makala ama kwenda Codex Iuris Canonici au Mkusanyo wa Sheria za Kanisa Katoliki. Kipala (majadiliano) 14:47, 10 Desemba 2018 (UTC)
- Kuliko kutumia jina la Kilatini, afadhali Mkusanyo wa Sheria za Kanisa la Kilatini (si kwa Wakatoliki wote!). --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:01, 11 Desemba 2018 (UTC)