Majadiliano:Mlima Kubi Gangri

Latest comment: miaka 4 iliyopita by Kipala

Kinachokosekana ni jamii na interwiki.
Jamii: kwanza angalia makala ya enwiki inatumia jamii gani (kama makala ya enwiki ipo). Pale unaona 2Categories: Mountains of Nepal,Mountains of the Tibet Autonomous Region,China–Nepal border,International mountains of Asia,Nepal geography stubs,Tibet geography stubs". Hapa utachagua, Hatuna jamii kuhusu mpaka ule, ningeacha. Vilevile hatuna "milima ya kimataifa..". Lakini nisipokosei tuna milima ya Nepal (kama bado: jiografia ya Nepal?), pia milima ya Tibet (?) au China. Lazima uangalie. Hakika tuna jamii:Himalaya. Inafaa. Hizi za "stubs" (=mbegu za...) mimi mwenyewe sianzishi kama haziko tayari.
Interwiki: tafuta jina la makala kwa Kiingereza. Halafu kwenye ukurasa wa makala mpya "Mlima Kubi Gangri" bofya chini kushoto hapa "Lugha - Ongeza viungo/Add links". Sasa fuata maelezo ya hapa: Wikipedia:Mwongozo_(Viungo_vya_Wikipedia).
Menginevyo ningeshauri fungua makala ya Kiingereza. Hatuwezi (bado) kunakili hiyo infobox na pia hatuwezi kuchukua ramani hii. Lakini unaweza kuchukua majiranukta. Bofya "Edit Source". Fungua pembeni makala ya Mlima Everest, bofya hariri chanzo, nakili sehemu yote ya majiranukta (coordinates), bandika ktk makala ya Mlima Kubi Gangri, sasa chukua namba kutoka coordinates ya enwiki na andika katika sehemu uliyonakili kutoka Everest.

Pia nakili sehemu ya "External links" kutoka enwiki, bandika sw. BAsi hii itoshe nitaangalia kesho ulifika wapi. Wasalaam. Kipala (majadiliano) 19:21, 5 Machi 2020 (UTC)Reply

Rudi kwenye ukurasa wa " Mlima Kubi Gangri ".