Majadiliano:Monica Bellucci
Latest comment: miaka 16 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Nimebadili mwaka na kuweka 1964 kwakuwa inaonekana Deutsch Wikipedia wao wako up to date sana na ndiyomaana wame-hakiki kwamba huyu mama kazaliwa mwaka wa 1964 na sio 1968. Hatujui kama Wikipedia kwa Kijerumani wako sahihi ama Wikipedia kwa Kiingereza? Lakini naamini kwamba Wajerumani hawaja kulupuka katika kuandika mwaka ule la kama hawajapata habari kamili kuhusu mwanamama huyu wa Kitaliano. Hivyo ndivyo mambo yalivyo! --Mwanaharakati (majadiliano) 16:28, 8 Aprili 2008 (UTC)