Majadiliano:Moses Kulola
Latest comment: miaka 11 iliyopita by Kipala
Inaonekana makala hii inaandikwa na mwenyewe; hajui wala hajajaribu kujifunza namna gani ya kutunga makala ya wikipedia. Ama inahaririwa kulingana na kanuni za wikipedia au ifutwe. Mwandishi anashauriwa kujiandikisha na kutafuta ushauri. Kipala (majadiliano)
- Kwa vile ni askofu mkuu wa kanisa moja la Tanzania, angestahili kuwa na makala. Nimerekebisha makala kufuatana na kanuni za wikipedia. --Baba Tabita (majadiliano) 09:02, 2 Januari 2013 (UTC)
- Asante kwa marekebisho! Kipala (majadiliano) 14:33, 3 Januari 2013 (UTC)