Majadiliano:Mwanaidi Suka
Latest comment: miaka 17 iliyopita by Muddyb Blast Producer
Salam Nd. zangu. Makala hii mimi nimeikuta tu. Kulikuwa na mtu kutoka Kongo ameona filamu alizoshiriki huyu dada Mwanaidi, ndipo akaandika kuwa yeye ni nani na ametokea wapi, mimi nikaona niiweke sawa kwakuwa najua kama Mwanaidi Suka ni mwigizaji wa filamu Tanzania. Kitendo hicho kilipelekea mimi kuandika makala kuhusu Suka, bila kumwekea mwaka aliozaliwa wala tarehe (sababu sijui kazaliwa lini), maana ilikuwa kama kukulupushana tu. Ikionekana haina maana basi ifutwe. --Mwanaharakati 06:42, 5 Desemba 2007 (UTC)