Mwanaidi Suka (au Mainda) ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Tanzania. Suka ni mmoja wa wanakundi la Kaole Sanaa Group, lenye makazi yake jijini Dar es Salaam, Tanzania.

Filamu na tamthilia alizoshiriki Suka hariri

Filamu hariri

  • Johari 1 - 2
  • Dar 2 Lagos
  • Dangerous Desire
  • My son
  • Bed Rest
  • After death
  • Fair Decision

Tamthilia hariri

  • Fukuto
  • Radi
  • Dira
  • Taswira

Ona pia hariri

Marejeo ya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanaidi Suka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

BaragumU