Majadiliano:Mwanaume

Latest comment: miaka 15 iliyopita by Muddyb Blast Producer

Kwa Kiswahili jina sahihi ni mwanamume/wanaume. Naomba tusifuate makosa ya watu wengi. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:32, 16 Machi 2009 (UTC)Reply

Kiswahili cha "mwanamume" ni Kiswahili cha kale. Mwanaume ni sawa kabisa. Angalia: uume, uwanaume, n.k.. Kwa sasa ukisema MWANAMUME (hasa kwa watoto wa kihuni) unakuwa unamaanisha mtu asiyekubali kushindwa kwa lolote lile. Kingine: niseme tena kwamba, Kiswahili kila siku wanabadilisha maneno kwa kufutana na wakati! Kazi njema.--Mwanaharakati (Longa) 12:21, 16 Machi 2009 (UTC)Reply
Rudi kwenye ukurasa wa " Mwanaume ".